Monday, March 31, 2008

BODABODA IN DAR?


Jamaa wa kidosi akiwa amepakia abiria wake kwenye pikipiki katika moja ya mitaa ya Dar es Salaam, sijui kama alifika salama bila kupigwa 'bao'.