Samahani sana wazee wakufuatilia mtandao huu ila kwa sasa tuko natatizo la net ambayo inakataa kidogo kuload picha zenu ila tunapambana iliturejeshe vitu ambavyo mmevikosa ikiwemo picha zenu nyingi ambazo mmenitumia mssite kutumia kwa mail yetu ile ile ya kadidi2@yahoo.com mada salamu na maoni yenu lipi liongezwe nalipi littolewe nawatakia kila la kheri katika mihangaiko ya hapa Duniani.
No comments:
Post a Comment