Hapo kijana Rama anaonyesha kuwa vijana wakitaani (Mtaani tumo) na sisi tumo kwa uchoraji hatubahatishi
Hapa naona kijana Rama yuko na mshindi wa kwanza wakicheka kwa pamoja !!!
Kila la Kheri kijana Rama umetutoa kimasomamo katika kinyanganyiro cha kumtafuta Mr University.
Kutoka kijiwe cha Too Much Education wanakupa hii sana !!!
No comments:
Post a Comment