Sunday, August 30, 2009

UZINDUZI WA FILAMU:CONFUSION IN ROCK CITY
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. Abbas Kandoro akizindua filamu ya ‘Confusion in Rock City’ akiwa na Ruge Mutahaba, mtunzi wa sinema hiyo katika hoteli ya Nyumbani ndani ya NSSF Plaza Mwanza
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Afande Jamal Rwambo, Kemmy Mutahaba, mratibu wa filamu hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Abbas Kandoro na Ruge Mutahaba wakipongezana baada ya sinema hiyo kuzinduliwa rasmi.

Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja (pili shoto) akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL William Haji (shoto) na washiriki wa filamu ya Confusion in Rock City. ATCL walikuwa wadhamini wakuu kwenye utayarishaji na uzinduzi wa sinema hiyo ambayo iko madukani nchi nzima.



No comments: