Thursday, August 27, 2009

hasheem thabeet kwenye vekesheni bongo
akiwa vekesheni hapa bongo nyota wa mpira wa kikapu hasheem thabeet ana usafiri na ulinzi maalumu. leo asubuhi alikuwa katika mahojiano katika kipindi cha michezo cha kila jumatano cha radio one kinachoandaliwa na mtangazaji jezi namba tisa mgongoni maulidi baraka wa kitenge. pamoja na mambo mengine hasheem ametoa wito wa wachezaji wa kila mchezo wawe na chama chao cha kutetea maslahi yao

No comments: