Thursday, August 13, 2009

Beberu Litoalo Maziwa
Mfugaji wa Mbuzi wa Kijiji cha Kilomo, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani, Abdallha Jumanne akitoa ya maelezo kwa wananchi ( hawapo pichani ) jinsi ya Dume la mbuzi lenye matiti yanayokamuliwa maziwa katika Banda la Maonesho la Halmashauri hiyo Viwanja vya Mwalimu Juluis Nyerere, Morogoro.
Picha na :www.habarileo.co.tz

No comments: