Sunday, August 30, 2009

MAMBO YA HASHEEM BONGO





Mjomba Hasheem anaetuwakilisha huko ughaibuni katika ligi bora ya kikapu duniani akiwa kwa mapumziko akijifua kidogo katika uwanja alioanzi harakati za kuelekea kwenye mafanikio aliyokuwa nayo kwa sasa .
Kaka kila la kheri na pia tuanshukuru kwa kuwa na balozi wa kitanzania katika ligi hiyo na pia kwa kumbukumbu zangu kama nzuri na pia ni mtanzania wa kwanza katika ligi hiyo. Nani atamfuata hatujui tusubiri tuone !!!!!!!!!!!

No comments: