Thursday, August 13, 2009

hepi besdei ya kuzaliwa mh. pinda Jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimlisha keki mkewe Tunu ikiwa ni ishara yakuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Alikuwa kwenye mji Mdogo wa Kibaya wialyaniKiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara Jana. Katikati ni Mbunge waViti Maalum, Dollar Mushi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua kutoka kwa mkewe Tunu ikiwa nipongezi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake . Alikuwa katika mji mdogo wa Kibaya wilayani Kiteto akienelea na ziara yake ya mkoa wa Manyara Jana




No comments: