Sunday, August 30, 2009

Dk. buriani azuru bandari ya uvinja nchini kongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Batilda Buriani wakitembelea Bandari ya Uvinja katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mheshimiwa Deogratias Ndunimana Waziri wa maji na Mipangomiji Burundi wakati wa Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazounda Mamlaka ya Usimamizi wa Endelevu na Ziwa Tanganyika HIvi Karibuni

No comments: