
Mhariri mkuu wa gazeti la Mwanahalisi Saidi Kubenea akiwa na Bw. Ndimara Tegambwage wakitoka nje ya ukumbi wa idara ya Habari MAELEZO ambapo waliongea na waandishi wa habari juu ya vitisho ambavyo wamekuwa wakiendelea kuvipata tangu Kubenea alipotoka nchini India kutibiwa baada ya sakata la kumwagiwa tindikari.
No comments:
Post a Comment