Monday, March 10, 2008

Afrika ya kamata mkanda wa WBC !!!!

Jamani hii imekaaje ni kweli tupu pale ninaposema inawezekana kuna watu wengi wanashindwa kunielewa ila safari hii yametokea katika ulimwengu wa masumbwi pale kijana alieiwakilisha vyema bara la africa na pia anatokea katika nchi ya Nigeria ! Hii ni hure na pia kila la kheri kwa hiyo africa tunaweza tuchangamke kama mnaigeria aliempokonya mrusi mkanda kwa knock out kila la la kheri africa na nitaendelea kukupenda africa maana yote yalioko dunia ya kwanza ya yanatoka Africa !!

No comments: