Monday, February 15, 2010

www.magaribeipoa.com

inayohusika na kuuza na kununua magari,hii ni tovuti kiwango isiyokuwa na gharama kwa mtanzania yeyote anayetaka kuuza gari lake kupitia humu.

Unatakiwa kujisajili bure ili uweze kutuma picha na maelezo ya gari lako husika bila kulipia pesa yoyote. Maelezo yanajitosheleza kwenye tovuti yetu ambayo inapatikana katika Lugha ya KIINGEREZA na KISWAHILI katika kila mwisho wa ukurasa wa tovuti hii.

Timu ya Magaribeipoa imechagua njia hii kuwatumikia watanzania,kwani twaamini nchi itajengwa na wenye moyo thabiti.
Wasiliana nasi kupitia
Email:info@magaribeipoa.com
Web: www.magaribeipoa.com

No comments: