Monday, February 8, 2010

JK akagua athari za mafuriko kilosa jana
JK akipanda kiberenge tayari kukagua uharibifu wa reli uliofanywa na mafuriko kando ya mto Mkondoa huko Kilosa jana.
JK akikagua kingo za mto mkondoa uliofurika na kuleta hasara kubwa ya mali katika mji wa Kilosa.



JK akiangalia reli iliyosombwa na maji ya mto Mkondoa wilayani Kilosa jana asubuhi
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments: