Thursday, February 11, 2010

RUFAA YA BABU SEYA YAJIBU: YAACHA MAJONZI, FURAHA KIDOGO
RUFAA YA BABU SEYA YAJIBU: YAACHA MAJONZI, FURAHA KIDOGO
Babu Seya (kushoto) akiingia mahakama ya rufaa Tanzania mapema leo akiwa na nyuso ya mataumaini yeye na wanae
RUFAA YA BABU SEYA YAJIBU: YAACHA MAJONZI, FURAHA KIDOGO
Babu Seya na Papii Kocha wakiwapungia mkono wa kwaheri wenzao baada ya kuachiwa huru

RUFAA YA BABU SEYA YAJIBU: YAACHA MAJONZI, FURAHA KIDOGO
Francis akilia kwa uchungu akizingatia ukweli kwamba Baba na Kaka yake huenda wakafia jela!

RUFAA YA BABU SEYA YAJIBU: YAACHA MAJONZI, FURAHA KIDOGO
Hukumu hii, imewaliza na wakati huo huo umeleta faraja kidogo kwa watu

Vilio, majonzi vyatawala Mahakama ya Rufaa
Mahakama ya rufaa nchini imewaachia huru watoto wawili wa mkongwe wa muziki wa Dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya’, Nguza Mbangu na Fransis Nguza ‘Chichi’ baada ya kuridhika na ushahidi kuwa hawakutenda kosa hivyo kutengua hukumu ya kifungo cha maisha jela waliyohukumiwa na Mahakama ya ...

Picha kutoka Glogal .

No comments: