Wednesday, February 17, 2010

T.I.D atangaza Ndoa....
Mwanamuziki machachari wa muziki wa kizazi kipya TID akiwa katikati ya perfomance Platinum Club Mikocheni, ambapo aliamua kuwashangaza watu alipozima muziki na kutangaza kuwa yuko tayari kuoa na kuhangaika tena sasa baaaaasi.Na Kinana ndie mwanamke aliemchaguliwa kuwa mke
Mwanamuziki TID akimvisha pete Kinana muda mfupi baada ya kutangaza
azma hiyo siku wa wapendanao.Picha zote kwa hisani kubwa ya lady Jaydee wa Machozi Band

No comments: