Wednesday, February 17, 2010

Uchaguzi wa Mwaka Huu Hautafanyika Bila
Mgombea Binafsi-Mtikila
Kiongozi wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaaam akipinga kauli ya Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu-Sera,Uratibu na Bunge Philip Marmo aliyesema kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika bila kuwepo kwa mgombea Binafsi.Mtikila kwa mujibu wa Katiba na sheria uchaguzi lazima uwe huru na haki kwa kufanyika pakiwepo wagombea binafsi na Bila yao hakuna uchaguzi utakaofanyika mwaka huu.

No comments: