Saturday, February 20, 2010

libeneke la askofu kakobe na tanesko

Kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Fellowship, Askofu Zakari Kakobe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kanisani hapo juzi baada ya kuwatimua mafundi wa Tanesco waliokuwa wapitishe nguzo kanisani hapo. Watumishi wa watatu wakampuni inayopitisha nguzo za umeme za tanesco jana wamejeruhiwa na walinzi hao wa Kakobe.

No comments: