Wednesday, February 17, 2010

libeneke la daladala
hakuna madereva wakorofi, wajuaji na wababe kama wa dala dala jijini dar. huyu hapo yuko pande sio wake akaanza kuleta utemi katika njia panda ya magomeni makuti akitokea mwenge. mbabe mwenzie alishuka na kumkwida kabla ya kumpa vibao

No comments: