Jamaa alinogewa na ushabiki wa bongo akaona bora avue  koti na kofia ili  kupagawisha wabongo,kila mtu aliondoka meno  yote nje  baada ya J-martins kufunga Usiku wa uhuru wa kuongea na kibao chake  Good Or Bad,pichani J-martins akiimba kwa hisia kwa kweli ulikuwa  ni  usiku wa Uhuru wa Kuongea.
 Hivi ni kwanini kila msanii anayetoka nje ya Tanzania  ni lazima aombe kucheza na wasichana wa Kibongo jukwaani   hii  inamaanisha nini?na dada zetu wanapagawa kweli wakiitwa kwenye jukwaa  kama inavyoonekana pichani J-martins akicheza na flowers wabongo.
 Mashabiki wa J-martins meno 30 yote yalikuwa nje baada  ya kumuona mwanamuziki huyo jukwaani akifanya mambo makuwa kama  unavyowaona mashabiki wakifurahia onesho hilo
No comments:
Post a Comment