Monday, April 19, 2010

Condom Feki za Kamasutra Zateketezwa jijini


Mabosi ya Mipira ya kiume aina ya kamasutra ambayo ni feki yakiteketezwa jijini Dar es salaam na shirika la viwango Tanzania(TBS) baada ya kugundulika ni feki na ziliingizwa nchini kutoka india.mabosi hayo ya kondom feki yaliteketezwa pugu kinyamwezi.Picha na Yusuf Badi.
Da kweli bongo tutamalizana tuwe wazalendo. Unaleta mzigo kama huu watumiaji wanatumia alafu wanaathirika. Hii itawajenga watumiaji wote kuwa hazifai kwa maana wanapata maambukizi, kumbe kutokana na watu wachache wenye uchu na pesa za haraka haraka. Na haya mashirika ya viwango yako wapi inamaana vitu kama hivi vinaposafirishwa kutoka masafa marefu kama hayo hawavichinguzi maana na yo niaibu kutoka kwao ni hayo tu.

No comments: