UZINDUZI WA TAMKO LA WANAHARAKATI WASIO WA KISERIKALI 2010; “WAKATI UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI 2010
                                     
Mgeni   rasmi,Jaji Mstaafu Lameck Mfalila akionyesha kitabu cha tamko la   Wanaharakati  wasio wa Kiserikali 2010;“wakati na baada ya uchaguzi   2010:Tanzania ipi tunayoiitaka?”
 Mgeni   rasmi aliyezindua ni; Jaji Mstaafu Lameck Mfalila, Mwenyekiti wa  Board,   Agenda Participation 2000 pembeni akiangalia ni Resident  Director-FES,  Dr. Stefan Chrobot mwengine ni Balozi Mahmoud Jabir.
 
No comments:
Post a Comment