JK ahudhuria mazishi ya julius msekwa jijini dar leo
                                     
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo  wakati alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu JuliusMsekwa ambaye ni  mtoto wa Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwanyumbani  kwao Bongoyo  Oysterbay, jijini Dar asubuhi ya leo
Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwamarehemu Julius  Msekwa ambaye ni mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCMBara Pius Msekwa  wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwawazazi wa marehemu ,  Bongoyo Oysterbay jijini Dar es Salaam janajioni.Marehemu Julius Msekwa  aliyefariki wiki iliyopita huko NicosiaCyprus ambapo alikuwa akifanya  kazi ya mtaalamu Mshauri bingwa katikafani ya teknolojia ya Mawasiliano,  alizikwa jana katika makaburi yaKinondoni jijini Dar jioni hii
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete,(wapili kushoto) Makamu Mwenyekitiwa CCM  Bara Pius Msekwa(kushoto) na mkewe Mama Anna Abdallah(watatukushoto)  pamoja na Rais mstaafu awamu ya tatu Mzee Ali HassanMwinyi(kulia)  wakishiriki ibada ya mazishi ya kumuombea MarehemuJulius Msekwa  aliyefariki huko Nicosia Cyprus wiki iliyopita nakuzikwa katika  makaburi ya Kinondoni jijini Dar jioni hii. Picha na mdau Freddy Maro wa  Ikulu
No comments:
Post a Comment