UMOJA WA MATAIFA  WAJADILI HAKI ZA  WATU WENYE ULEMAVU
                                     
KATIBU  MKUU, BW. MSHAM ABDALLA KHAMIS, KATIBU MKUU AFISI YA WAZIRI KIONGOZI  SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA  MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MAKUBALIANO KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE  ULEMAVU. NYUMA YAKE NI BI. ABEIDA RASHIDI ABDALLA, MKURUGENZI WA IDARA  YA WALEMAVU AFISI YA WAZIRI KIONGZI AMBAYE NI MLEMAVU WA MIGUU  AKIFUTATILI MAJADILIANO
MMOJA  WA WA WAJUMBE   AKIANDIKA KWENYE KOMPYUTA YAKE KWA KUTUMIA MIGUU YAKE   WAKATI MAJADILIANO  YAKIEDELEA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU WAKATI  WA MKUTANO WA TATU WA UMOJA WA MATAIFA WA NCHI WANACHAMA ZILIZOWEKA  SAHIHI NA KURIDHIA MAKUBALIANO YA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU.
KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA
 
No comments:
Post a Comment