JK alipokuwa kilosa
                                     JK  akiwahutubia wakazi wa Kilosa mkoani Morogoro jana mchana katika  mkutano wa kampeeni ya chama hicho, uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika  oktoba 31 mwaka huu nchini kote kwa ajili ya Rais, Wabubge na Madiwani.


No comments:
Post a Comment