mgombea urais chama cha ccm mh jakaya kikwete alipounguruma manyara na babati
                          
MGOMBEA   urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete akiagana na wananchi kwa   kuwapungua mkono, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni , wilayani   Babati. 
Mgombea  urais kwa chama cha CCM,Mh Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa  Chipukizi wa Mkoa wa  Manyara Hilda Prosper Hinghmaghway (7), anayesoma  darasa la pili katika  shule ya Rift Valley iliyoko Babati wakati wa  mkutano wa kampeni wa CCM  uliohutubiwa na Mgombea urais kupitia chama  hicho  mjini Babati,  (Picha na John Lukuwi).
Mgombea  Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk. Jakaya Kikwete,   akisalimiana na wananchi wa Haydom, mkoani Manyara, alipowasili katika   mkutano wa kampeni, .(Picha na Freddy Maro.
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment