Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini lavitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama vya siasa
                                     
Msajili  wa Vyama vya Vyama Siasa John Tendwa (kushoto) akitoa tamko juu ya  maazimio mbalimbali ya Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini  ikiemo kutovitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama  vya siasa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la vyama vya  Siasa Juma Ali Khatibu.
Wajumbe  wa Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es salaam . Mkutano huo ulikuwa  ukiwaeleza waandishi wa habari juu ya maazimio mbalimbali yaliyofikiwa  wakati wa mkutano wa Baraza.
 
 
No comments:
Post a Comment