dr slaa azidi kupasua na kampeni zake.
                          
Mgombea   urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),   Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika jimbo la Hai  kupitia  chama hicho, Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa kampeni  zilizofanyika  Bomang'ombe mjini jana.   
Waendesha   pikipiki wakiwa katika maandamano ya msafara wa mghombea urais wa   TanzaNia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.   Willibrod Slaa, kuelekea katika mikutano yake ya kampeni katika jimbo la   Hai mkoani Kilimanjaro jana. (Picha na Joseph Senga) 
Mwasisi   wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei,   akiwahutubia wanachi wa Siha mkoani Kilimanjaro, wakati wa mkutano wa   mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo   (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa (kulia) juzi. (Picha na Joseph Senga)         
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment