sakata la uraia wa hussein bashe
                                     Kamati  kuu ya CCM imemuengua Bw. Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni  ccm kupitia jimbo la Nzega, Tabora, na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa  jimbo hilo Bwana Lucas Selelii kwa jumla ya kura 14,200 za Bashe, dhidi  ya 2700 za Selelii, kutokana na utata wa uraia wake ambapo inadaiwa si  raia Tanzania
Hello,
Nimerekodi  mahojiano ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya BBC wakati bi Aisha Yahya  anahojiana na Hussein Bashe kuhusu suala la uraia kisha mazungumzo ya  Salim Kikeke na John Chiligati kuhusu suala hilo.
Linki ni hii:
http://bit.ly/abkuk6
Shukrani kwa timu nzima ya BBC kwa mahojiano haya.
Subi
1 comment:
shheyaan802
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
Post a Comment