nyumba ya kompyuta toka marekani yafunguliwa dar
                                     
  Mdau Kisamo akikukaribisha kwenye nyumba ya kompyuta na vikorokoro  kibao vya mtandao toka Marekani iitwaqyo KOMPU WORLD. Nyumba hii iko  barabara ya Morogoro road jijini Dar, karibu na mtaa wa pili ukitokea  Mtaa wa Samora Avenue ukielekea Magomeni upande wa kulia.
 Mdau Kisamo akihudumia baadhi ya wateja ambao
wamenzza kumiminika katika nyumba hiyo ya kompyuta. Hizi ni Think Pad Laptop za
Levono,  kampuni inayotoa kompyuta za kisasa zaidi Marekani kwa sasa. Spea na  accessories ni za kumwaga hapo katika nyumba hii ya kompyuta. Na kila  kitu kina gerentii ya mwaka mmoja...
  Ankal akioneshwa mtambo wa kisasa wa CCCTV ambao una vikorombwezo kibao  ikiwa ni pamoja na kamera inayoona gizani, memory ya mwaka mzima na ya  rangi pamoja na kukupa uwezo kuiangalia kwa intaneti ukiwa hauko  nyumbani ama ofisini ulikoifunga tena na sauti hukamata
 Mdau Kisamo anakuonesha aina kadhaa ya HDD USD drive zenye GB aina zote
Hapo mdau Kisamo anakwambia hii ni desktop toleo la mwaka huu la kutoka IBM ambayo haina msgindani kwa ubora na uthabiti
 Mdau akiwa keshapata mteja anamtayarishia mzigo aondoke nao. Kwa mawasiliano mdau Kisamo anapatikana kwa simu namba+255 22 212 3388 ya mezaniama+255 767 266 902
 Na  katika kukuhakikishia kwamba ameingia Bongo kuwaletea teknolojia ya  leo, Mdau Kisamo anatoa ofa kwa wateja watano wa kwanza kuanzia leo  Alhamisi ambapo ukifanya manunuzi:
1. BUY A THINKPAD LAPTOP & GET A FREE 320GB SECURE HDD USB DRIVE!!!!!! 
WAHII, ONLY APPLIES FOR THE FIRST TEN CUSTOMERS BEGINNING 8/19/2010!!!!
2. BUY A IDEA PAD Y550 & GET A FREE WD MY PASSPORT ESSENTIAL USB DRIVE!!!!\
UNATAKIWA UWAHI...ONLY APPLIES FOR THE FIRST FIVE CUSTOMERS BEGINNING 8/19/2010!!!
 
3 comments:
Congratulations Emma!Its great that yourself is a computer technocract/wizzard and you brought the service from USA to TZ.
We need more of your likes!!
Cheers,
Walter Makundi- Singapore
Congratulations Emma!Its great that yourself is a computer technocract/wizzard and you brought the service from USA to TZ.
We need more of your likes!!
Cheers,
Walter Makundi- Singapore
Hi there would you mind sharing which blog
platform you're using? I'm looking to start my own blog soon but I'm having a hard time deciding between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I'm
looking for something completely unique. P.
S Apologies for being off-topic but I had to ask!
My web-site ... kitchen in northern virginia
Post a Comment