Dk. Shein afutarisha dodoma
                                     
Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete wa pili  kushoto, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania Mhe. Benjamin William  Mkapa kushoto, Makamu wa Rais Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia,  na Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi  kulia, wakila futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani  kwake Kilimani mjini Dodoma Juzi jioni.
Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein  kushoto, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya  Mrisho Kikwete, baada ya kula futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu  wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein nyumbani kwakwe kilimani mjini Dodoma Juzi  jioni. Picha na Amour Nassor wa VPO
 
 
No comments:
Post a Comment