ufafanuzi wa CCM juu ya kuenguliwa kwa Mwakalebela na wengine kuachwa wapete
                                     
 Mh. Andrew Chenge
 Mh. Basil MrambaBaada  ya jina la Frederick Mwakalebela kuenguliwa katika orodha ya wagombea  Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, baadhi ya watu wamekuwa  wakihoji uhalali wa kufanya hivyo ilhali wana-CCM wengine wanaogombea  viti hivyo katika majimbo mengine nchini wana kesi mahakamani lakini  wameruhusiwa kuendelea na kinyang'anyiro hicho. Maswali hayo yaliifikia  CCM na ufafanuzi wake unapatikana Michuzi Post...
No comments:
Post a Comment