Dodoma Jana.
                                     
Spika  wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho kushoto,  akizungumza jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Nje ya ukumbi wa  Mikutano wa Halmashauri  Kuu ya CCM Mjini Dodoma jana, baada ya  kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi leo asubuhi. Katikati ni Mgombea  Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib  Bilal, kulia Mjumbe wa Kamati  hiyo  Mhe. Zakia Hamdani Meghji.
Mjumbe  wa kamati kuu ya CCM Taifa na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya  Wajumbe wa Kamati hiyo ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya  CCM mjini Dodoma Jana, kabla ya kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi Leo  asubuhi.
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment