miaka 10 ya mwanamuziki  lady jaydee
                                     
  Lady Jaydee akiwa na mai hazbendi wake gadna G. habash wakionesha fulana maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 10 ya mwanamuziki huyu  hodari ambayo kilele chake kitakuwa ijumaa hii pale Mzalendo Pub  Millenium Towers jijini Dar kwa onesho litaloenda sambamba na uzinduzi  wa albamu ya kwanza ya Machozi Band.
No comments:
Post a Comment