libeneke la angalia-bongo
                                     
Natatumaini  kuwa mnaendelea vyema na shughuli za kila siku za kujenga taifa..Jambo  la msingi ni kuwaomba wana blog wenzangu kuweza kunisaidia kuwataarifu  wasomaji kupitia blog zenu kuhusu mabadiliko ya blog yangu kutoka  www.angaliabongo.co.tz na sasa kuwa
www.angalia-bongo.com
Natumaini mtaweza kunisaidia kwa hilo.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.
SARAH.
Natumaini mtaweza kunisaidia kwa hilo.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.
SARAH.
No comments:
Post a Comment