Kikaoni jana !!!
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  pampja na Rais wa Zanzibar Amani Abedi Karume(kulia) pamoja na Makamu wa  Rais Dr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto), pamoja na mgombea mwenza  Dr.Mohamed Gharib Bilal mwishoni mwa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma  usiku wa kuamkia leo. Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment