Hispania Ndio  Mabingwa wapya wa kombe la dunia 2010
                                     
Rais  Jacob Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Rais wa Fifa,Sepp Blatta wakiwa na  mabingwa wapya wa Dunia mara baada ya kuwakabidhi kikombe chao cha  ubingwa walioupata kwa kuitungua timu ya Taifa ya Uholanzi bao 1-0  lililofungwa na mchezaji Andres Iniesta dakika nne tu kabla ya mechi  kumalizika.
Torres  na wenzake wakifurahia ubingwa huo.
No comments:
Post a Comment