Waziri Mkuu Pinda akutana
na Sahinguvu..

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda(Kushoto)akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi,Dk Yves Sahinguvu,kabla ya mazungumzo yao katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika,Caribbean na Pasifiki(ACP)jijini Accra.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment