Mama Membe Ashiriki Mbio  
 Za  Wanawake...
  
 Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mama  Dorkas Membe (wa pili kulia),akisalimiana na Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson  Mmbando(kushoto),wakati wa uzinduzi rasmi wa mbio za kinamama Taifa zijulikanazo  kwa jina la mzizima 21km women races zilizodhamniwa na Tigo kwenye Uwanja wa  Taifa Dar es Salaam juzi.Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyikiti wa Chama cha  Riadha Dar es Salaam(DAA),Catherina Ikangaa.
 Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mama  Dorkas Membe(wa pili kulia),Mbunge wa Viti Maalumu(CCM)Lucy Mayenga(kulia kwa  mama Membe),Makamu Mwenyikiti wa Chama cha Riadha Dar es Salaam(DAA),Catherina  Ikangaa(kushoto)na Ofisa Uhusiano wa Tigo,Jackson Mmbando(kulia),wakianza mbio  kuashiria uzinduzi rasmi wa mbio za kinamama Taifa zijulikanazo kwa jina la  mzizima 21km women races uliodhaminiwa na Tigo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es  Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment