Mtoto  Albino....
  
Huwa inaniuma sana ukatili unaofanywa na wabongo,imagine katoto  kazuri kama haka kenye furaha hakajui watu wanavyotafuta maalbino kwa ajili ya  ushenzi wao.Kikubwa nilichogundua ni kuwa albino si lazima azaliwe na  albino,mcheki mama yake!
  Mdau 
 Mpoki Bukuku.
  
No comments:
Post a Comment