media day 2008 kumekucha
                                     
 abdallah majura wa BBC akibusu medali ya dhahabu ya mieleke aliyojinyakulia sasa hivi kwenye bonanza la waandihi la media day 2008 msasani beach club. majura hakuwa na mpinzani kwenye mchezo huo. tamasha hili limedhaminiwa na tanzani breweries
 issa mnaly wa global publishers na sebbo wa EATV walikuwepo kucheza mchezo wa pilau
 ma champion kibao wapo
 meza kuu ya mwananchi newspapers
 mpiga gitaa na kiongozi wa vibration sound dakika hii tunayoongea anafanya mambo si ya kawaida hapa msasani beach club ambako kuna bonanza la tamasha la vyombo vya habari kwa kiinglishi media day 2008
 elyson angai akikonga nyoyo za waandishi msasani beach hivi sasa
No comments:
Post a Comment