Hii  Imekaaje Wadau?
 Wadau nilikuwa nimejiuliza hii picha  imechukuliwa ndani ya Soko la Samaki Ferry,na kama uonavyo picha watu wanakojoa  sehemu ambayo sehemu hiyohiyo ndio pindi mnunuzi anapojitokeza na kununua samaki  huwa anapelekwa kufanyia mtakatisho...sasa wadau hii imekaaje?   
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment