Monday, October 6, 2008

nmb yaipiga taffu taifa stars
Bosi wa Msoko na Habari wa Benki ya NMB, Imani Kajura (kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa Nahodha wa timu ya taifa Taifa Stars Henry Joseph kwa ajili ya timu hiyo jana. Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Frederick Mwakelebela.

No comments: