miriam gerald ndiye vodacom miss TZ 2009 na pia ndiye Redds miss photogenic!!!
                                     
 miriam gerald ndiye Vodacom miss TZ 2009 na pia ndiye miss Redds Photogenic 2009 kwa mujibu wa matokeo ya fainali hizo zilizohitimishwa  katika ukumbi wa Mlimani City Conference centre jiijini Dar .Kwa habari kamili pamoja 
na picha na video kibao...
na picha na video kibao...
BOFYA HAPA
pamoja na yote hayo ila sikufurahishwa na jambo dogo sana ambalo waandaaji hawakuliangalia. Nalo niyale mafataki waliyo yalipua hawakutoa tahadhari maana milio ilikuwa mikubwa ndugu zangu kule Mabibo walizisikia . Maana kuna watu walipatwa na kihoro katika milio hiyo .
Maoni yangu linapofanyika swala kama hili watu wanaoishi jirani waambiwe pia wasije wakakimbia makazi yao bure na kusababisha hayo yalio tokea katika kilele cha usiku wa kumtafuta mrembo wetu.
Kwa mengine yote nawapa hongera wote mlioshiriki na mkulipa unadhifu.
Na mwisho mwanza mwanza wako juu hongereni sana. wazee wa mapanki!!

No comments:
Post a Comment