Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Friday, November 14, 2008
OBAMA DILI
Msanii Maulidi Salehe 'Mau' akichora picha ya Rais mpya wa Marekani mwenye asili ya Afrika Barrack Obama eneo la Tabata Dampo ,ambapo hutumia siku tatu kuchora picha moja kama hiyo na kuuza sh 400,000.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment