mwana fa a.k.a binamu akifanya makamuzi ya nguvu huko reading weekend hii mtu ilikuwa nyomi kinoma wadau wakiserebuka reading palikuwa hapatoshi binamu kazini
IJUMAA HII TAREHE 10/10/2008 BINAMU ATAENELEZA MAKAMUZI KATIKA CLUB AFRIQUE YA CANNING TOWN
No comments:
Post a Comment