Monday, October 6, 2008

babu wa mizimu
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Meja Jenerali Mstaafu, Said Kalembo, (kulia) akiagana na Jumanne Kimbeo, ( Babu wa Mizimu) , Mkazi wa Kijiji cha Kisaki Stesheni, mara baada ya viongozi wa Serikali ya Mkoa huo kulitembelea eneo la kihistoria la chemichemi ya maji ya moto katika Kijiji hicho hivi karibuni. picha na mdua john nditi wa mji kasoro bahari

No comments:

Post a Comment