Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Thursday, September 11, 2008
UHARIBIFU
Jamani hawa madereva afadhari wangekuwa wanaanguka na kuharibu magari yao lakini sasa wanaharibu mpaka miundombinu? Sasa wananchi watasubirije gari hapa kama ikiwa jua kali ama mvua?
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment