Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Thursday, September 11, 2008
Mpaka upate jibu...!
Hapa nilipokuwa shule asubuhi moja nikiwa katika maabara. Sina hakika kama huu ulikuwa ni uchunguzi unaoitwa wa kisayansi kwa sababu nilikuwa nalazimishwa kutafuta jibu ambalo muuliza swali analitaka. Sayansi ndio ilivyo. Unatafuta kinachojulikana.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment