Wednesday, September 10, 2008

Masikini; Mkulima Kala Hasara!


Ajali hii ilitokea nayo mchana huu eneo la Mbigili, km 30 kutoka Iringa kwenye barabara ya Dar -Tunduma. Jua lilikuwa kali sana, na joto kali la lami ya barabarani lilipelekea tairi za trekta hili kupasuka na trekta kuanza kuwaka moto. Alionekana dereva akikimbilia msituni katika hali ya kuchanganyikiwa huku akiliacha trekta likiteketea, nami sikuwa na cha zaidi kusaidia bali ni kupiga picha hiyo ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment