Kweli Watanzania ni wabunifu !!!
Jamaa huyu wa hapa Iringa amebuni na kutengeneza mwenyewe aina hii ya bodi ya basi. Ina uwezo wa kuchukua abiria 23. Inafanya safari za Iringa hadi Ilula. Pichani ni leo asubuhi Iringa mjini. Asante sana Maggid kwa picha hii Muruwa !!!
No comments:
Post a Comment